Ni habari za leo May 25 2017
mchana kutokea upande wa kanda ya ziwa ambako bado Wakazi wa eneo hilo
hawajasahau tetemeko lililogharimu maisha ya watu na mali zao kwa upande
wa Kagera.
Habari ya leo ni kwamba tetemeko limeripotiwa kutokea hukohuko Kanda ya ziwa kwenye maeneo ya Mwanza na Geita lakini hakuna madhara yaliyoripotiwa mpaka sasa.
Japo halijasababisha uharibifu wowote tetemeko hilo la leo ambalo inaripotiwa limechukua kuanzia sekunde 7-10 limesababisha baadhi ya waliokuwemo kwenye majengo ya gorofa kutoka kwenye majengo hayo wakiwemo Wanafunzi wa chuo cha SAUTI Mwanza.

Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments