Saturday, May 27, 2017

thumbnail

Kala Jeremiah afunguka haya baada ya Mwakyembe kukataza wasanii kuimba Siasa















Hivi karibuni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni Dodoma akiwataka wasanii wajiepushe kuimba siasa badala yake waelimisha jamii kauli ambayo imekuwa gumzo kwa wadau wa muziki.

“Siasa na Muziki ni ngumu kuitenganisha kwa sababu hii kitu inaunganishwa na kitu kinaitwa Jamii. Kuna vitu vitatu; siasa, muziki na jamii na jamii inakaa katikati ya siasa na muziki.” – Kala Jeremiah.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music