Thursday, June 22, 2017

thumbnail

Barnaba ajilipua kuhusu Tatuu


Msanii Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’.

KAJIPONDA! Msanii Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’ amejiponda mwenyewe baada ya kuwashauri watu na wasanii wengine wasichore tatuu hovyo, huku yeye akiwa nayo mwilini mwake.


Barnaba hivi karibuni alisikika kupitia kituo kimoja cha redio akisema kuwa, anawashauri mashabiki na wasanii wenzake kuachana na tabia ya kujichora tatuu na kudai kuwa, yeye alijichora zamani na yake ina maana.
Kufuatia kauli hiyo, Showbiz Xtra ilimbana Barnaba ili azungumzie tatuu yake ina maana gani na kwa nini alitoa ushauri wakati yeye ana urembo huo lakini alijibu kwa kifupi; “No commen

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music