Tuesday, June 20, 2017

thumbnail

Bill Nas afunguka kuhusu kilichopo kati yake na Godzilla


Staa anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongofleva Bill Nas amekana taarifa zinazodai kuwa ana tofauti na staa mwingine wa Bongofleva Godzilla akisema hana tatizo naye na ameshakutana naye mara nyingi ingawa kuna watu wanadai hivyo.
Kutokana na hali hiyo Bill Nas amekiri kupigiwa simu na Godzilla akimpa ushauri na kumtia moyo kwa kile anachokifanya akisema pia kuwa uhusiano wao uko vizuri na mara nyingi ‘King Zilla’ amekuwa akisikiliza nyimbo zake.
Mbali na hayo, Bill Nas pia amegusia inayoitwa vita ya maneno kati ya Godzilla na Wakazi akisema hawezi kuingilia kwa sababu inawezekana wawili hao wamepanga au wanajua wenyewe kwa kuwa mambo hayo yalishakuwepo tangu zamani.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music