Thursday, June 22, 2017

thumbnail

BREAKING: Mkuu wa Majeshi aahirisha ziara yake Kibiti


Pwani. Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo ameahirisha kufanya mazungumzo na wazee wa Kibiti.

Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Gullamuhusein Kifu amesema ni kutokana na mkuu huyo kupangiwa majukumu mengine ya kikazi.

Awali, Mabeyo alitarajiwa kufika Kibiti kufanya mazungumzo na wazee kwa ajili ya kuimarisha hali ya usalama mkoani humo ambamo kumekuwa na mfululizo wa mauaji hasa ya viongozi wa vijiji

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music