Tuesday, June 27, 2017

thumbnail

Kilichojiri baada ya Kassim Mganga kuweka ndevu zake rangi




Msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga amesema kuna baadhi ya mashabiki wamembeza baada ya kuweka ndevu zake rangi.
Kassim Mganga ameiambia E-Newz ya EATV kuwa huwa akiamka asubuhi na kujisikia kufanya jambo fulaui huwa anafanya tu bila kujali watu wataongea nini.
“Niliamka nikajisikia kuweka mvi kwenye ndevu zangu kama ambavyo siku zote najisikia kufanya kitu kingine. Kwenye kufanya jambo huwezi kumfurahisha kila mwanadamu, unapofanya jambo lazima utegemee yes na no, hivyo mimi nilikuwa nategemea tu, kwa hiyo haikunishtua. Sijui, nikijisikia naweza nikaendelea (kuweka) au nikaacha,” amesema Kassim Mganga

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music