Sunday, June 11, 2017

thumbnail

Chambuso amtetea Aslay kwa WCB



Vita ya Diamond na Alikiba haijawahi kumuacha mtu salama.
Meneja wa Aslay, Chambuso amemtetea msanii wake huyo kuwa hajawahi kuwa na ukaribu na Alikiba. Hilo limekuja baada ya kusambaa maneno kuwa hitmaker huyo wa ‘Muhudumu’ ameingia kwenye mgogoro na WCB kutokana na ukaribu wake na Alikiba.
Akiongea Ijumaa hii katika kipindi cha FNL, Chambuso amesema, Aslay hajawahi kuwa karibu na Kiba na wala hakuwa na wimbo wowote ambao tayari wameurekodi kama inavyosemwa na baadhi ya watu. Ameongeza kuwa wala hakuna tatizo lolote kati ya Aslay na WCB.
Chambuso amepigilia msumari kwa kusema, nyimbo alizoachia Aslay ni kama zawadi hajaanza kufanya kazi rasmi ila baada ya kupita mwezi mtukufu wa Ramadhan wataanza kuachia nyimbo za msanii huyo rasmi
credit to bongo5

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music