Hii ndio ajali inayosemekana kusababisha kifo cha Ally Yanga 9:40 PM 0 Comment Ajali hii imetokea barabara ya Wiyenzele kuelekea chipogoro mtu mmoja amepoteza maisha hapo hapo. Aliyefariki ni mshabiki maarufu wa timu ya Yanga, anaitwa Ally Yanga 9:40 PM Tags : NEWS Subscribe by Email Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments