Hii kutokana nakuulizwa swali hili
na watu wengi katika email Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza
kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo
yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako.Fata hatua zifuatazo…
Hatua ya kwanza
Download App inayoitwa parallel space kwenye play
store
Hatua ya pili
Kama simu yako ni line moja basi
weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili
Hatua ya tatu.
Install application uliyo download
kwenye Step 1(parallel space )., kisha ifungue.
Hatua ya nne
Utakapofika kwenye kipengele
kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya pili
ili uweze kuwa na whatsapp mbili .
Hatua ya tano.
Utaendelea na Steps za kawaida kama
ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa
kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email
No Comments