Thursday, June 22, 2017

thumbnail

Mazingira ya albamu hatujayatengeneza – Belle 9


Msanii wa Bongo Fleva, Belle 9 amedai mazingira ya wasanii kuuza albamu bado hayajatengenezwa.

Muimbaji huyo wa RnB ameeleza ujio wa kuuza nyimbo katika mtandao huenda ukapoteza utamaduni wa watu kununua albamu hata pale zitakaporejea.
“Kiuhalisia mazingira ya albamu hatujayatengeza kwa sababu cha kwanza hata ile biashara ya online ambayo tumejaribu kuileta na kuonyesha kwa wabongo inazidi kutengeneza mazingira ya kutotoa tena albamu kwa sababu watu wanaamini katika wigo mwingine tena wa kupata muziki kwa urahisi,” ameimbia Dj Show ya Radio One.
“Inawezza ikaharibu au ikapunguza ule ushawishi wa watu kutoa albamu kwa sababu mtu anaweza kupata ngoma nyingi mtandaoni lakini kama mtu ni shabiki wa msanii na unampenda, kitu kizuri ni kuwa mzalando, kama unampenda msanii wako ujue kama kuna biashara zinaendelea,” ameongeza.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music