Saturday, June 24, 2017

thumbnail

Music: Wizkid azidi kuonyesha yeye ni namba 1 Afrika


Wizkid anazidi kutengeneza ukuta mkubwa ambapo inazidi kuwa ngumu kwa wasanii wengene wa Afrika kuweza kuuvuka kiurahisi na kumfikia.
Baada ya muimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a muziki la Major Lazer kutoka Marekani.
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! ðŸ”ŠðŸ”Š.” Sikiliza wimbo huo hapa chini.

JIUNGE NA BONGO5.COM SASA

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music