Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema kuwa Serikali imchukulie hatua kiongozo aliyesikika hivi Karibuni akifitinisha Waumini wa Dini ya Kiislamu na Serikali.
Juzi aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema Edward Lowassa alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kilichodaiwa kuwa ni maneno ya kiuchochezi aliyoyatoa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu kwa Serikali.
Polepole amesema kuwa kiongozi wa namna hiyo anapaswa kuchukuliwa hatua.
No Comments