Thursday, June 8, 2017

thumbnail

RC Mghwira apigwa chini Uenyekiti ACT


cha ACT -Wazalendo kimevua uongozi aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Mama Anna Mghwira ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kaimu Kiongozi wa ACT, Samson Mwingamba alizungumza na waandishi wa habari Jumatano hii (jana),ambapo alisema kamati ya uongozi wa ACT ilikutana leo lengo kuu ni kutafakari lililotokea kuona namna gani Mgwhira anaweza kutimiza majukumu yake kama Mwenyekiti na Mkuu wa Mkoa.
“Kama chama baada ya kutafakari kwa kina na baada ya mashauriano baina yake na viongozi kutumia katiba ya chama anakoma kuwa kiongozi kwa kuwa kutakuwa na mgongano wa majukumu, maslahi hivyo anakoma kuwa mwenyekiti,” alisema Mwigamba.
Aidha Mwigamba alisema Chama hicho kimefikia hatua hiyo kwa kuzingatia ibara ya 17 ya katiba yake ambayo inatamka kuwa kiongozi wa chama atakoma kuendelea na madaraka yake iwapo atashindwa kutekeleza majukumu yake.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music