Wednesday, June 7, 2017

thumbnail

Saida kaloli kaja kivingine.


msanii saida kaloli kwa mara nyingine tena amekuja na wimbo wake mzuri wenye vionjo vya nyimbo ya diamond ambao alimshirikisha ray vanny solome  pia ndani yake kuna vionjo vya nyimbo ya darasa aliyomshirikisha ben polambayo inatwa mziki,  lakini kama ambavyo msanii huyo aliwahi kusema anampenda sana belle tisa au belle 9 hivyo ndani ya wimbo huo kuna vionjo vya wimbo wa belle 9 ambao unajulikna kwa jina la "give to me". ni moja kati ya nyimbo nzuri sana ambayo msanini saida kaloli ameamua kutuma zawaida sisi watanzania ni nyimbo hii inajulikana kwa jina ORUGAMBA

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music