Wednesday, June 14, 2017

thumbnail

Video: Moto mkubwa wateketeza jengo la makazi London



Moto mkubwa unateketeza jengo moja la makazi katika barabara ya Latimer magharibi mawa London, na wanaoshuhudia wanadai kuwa watu wamekwama manyumbani mwao.

Moto huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza mwendo wa saa 01:16, saa za Uingereza na karibu wazima 200 wanapambana nao.
Polisi wanasema kuwa watu wanatibiwa kwa majeraha tofauti.
Mwandishi wa BBC anasena jengo hilo lote limeshika moto na kuna hofu kuwa huenda likaporomoka.
Idara ya wazima moto jijini London imetuma malori 40 ya kuzima moto huo.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music