Monday, July 17, 2017

thumbnail

4:44 yashika namba 1 chati za Billboard


Albamu ya 4:44 kutoka kwa rapper Jay Z inazidi kuendelea kufanya vizuri katika ulimwengu wa muziki kwa kuweza kushika namba moja katika chati za Billboard 200.
Kwa mujibu wa mtandao wa muziki wa Nielsen, albamu hiyo yenye nyimbo 10 na  14 kwa rapper huyo tangu aingie kwenye maisha ya muziki imekuwa moja ya albamu iliyo na uhitaji mkubwa zaidi kwa sasa.
Mpaka sasa 4:44 ndiyo albamu iliyoweka historia kwa miaka 61 katika chati za the Billboard 200 kuwa namba moja kwa muda mfupi.
Albamu hiyo imetaarishwa na producer No I.D. huku wasanii kama BeyoncĂ©, Frank Ocean, Damian Marley, Kim Burrell, The-Dream wamesika pia kuna nyimbo kama vile ‘Bam’, ‘4:44’, ‘Marcy Me’, ‘Smile’, ‘Legacy’ na nyingine.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music