Sunday, July 2, 2017

thumbnail

Akon amkingia kifua Jay Z katika kuwachana wasanii kwenye album mpya.



msanii na Producer wa muziki Akon ametoa ushauri kwa yoyote aliyechanwa na JAY-Z kwenye album yake mpya 4:44.
Akon anasema “Jay Z huwa hasema sana kuhusu mtu ila kama JAY-Z Kasema kitu kuhusu wewe basi anaushahidi wa kudhibitisha alichosema ni kweli na atakuwa na habari zaidi ya alichosema“.
Wasanii wakubwa kama Eric Benet na Kanye West wamechanwa na Jay Z kwenye hii album mpya na tayari Eric amejibu mashambulilizi.
Alichosema Ben Pol Baada ya Kukutana Na Ebitoke, Sababu za Kuachia Wimbo wake “Natuliza Boli
”

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music