Monday, July 10, 2017

thumbnail

Amber Rose na 21 Savage wazidi kujiachia

Baada ya Amber Rose na 21 Savage kudhihirishia umma kuwa  ni wapenzi, wawili hao wamezidi kuanika mahaba yao katika mitandao.
Kupitia mtandao wa Instagram Amber Rose amepost picha akiwa kitandani na mpezi wake huyo mpya ambaye siku kadhaa walinaswa na kamera za mtandao wa TMZ wakielekea kwa Savage kwa ajili ua utambulisho.
“It’s pretty amazing waking up every morning feeling love like this. I’ve cried endlessly and been hurt a lot in my life, I’ve been abused, talked to like I wasn’t shit, been gaslighted and Slut shamed by men that I once loved and cared about,” ameandika mrembo huyo.
Ameongeza kuwa “thankful that God brought this amazing person in my life who genuinely has my back and is ready to “pull up” to defend my honor by any means. Maybe he’s just as broken as me and that’s why we’re perfect for each other but either way he’s not going anywhere and neither am I.”

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music