Thursday, July 20, 2017

thumbnail

Baada ya Jay Z sasa ni Wizkid


Tumeona rapper Jay Z akifanya kolabo na msanii kutoka Jamica Damian Marley, kupitia albamu yake ya 4:44 iliyotoka Juni, 30 mwaka huu. Sasa ni zamu ya Starboy – Wizkid kutoa ngoma na mkali huyo.


Kupitika mtandao wa Twitter, msanii huyo ambaye ametoa mixtape yake wiki iliyopita ikiwa na nyimbo 12 pamoja na bonus track moja,ameweka picha na akiwa na Damian Marley ambaye ni mtoto wa marehemu Bob Marley.
“Talked about working with this man. Today we dey here! Legend! To the world my friend🚀🚀,” ameandika msanii huyo.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music