Friday, July 21, 2017

thumbnail

Faiza Ally amfungukia baba kijacho wake

Mrembo kunako Bongo Muvi ambaye pia ni mzazi mwenzie na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa kati ya vitu ambavyo havipendi katika ujauzito wake huu ni kumuanika baba kijacho wake.

Akipiga stori na Star Mix, Faiza alisema kuwa, anafurahi kuwa mama mtarajiwa wa mtoto wake pili lakini linapokuja suala la kupiga naye picha ama kumuanika baba kijacho wake mitandaoni kama wafanyavyo wasanii wengine kwake halina nafasi.

“Kwanza nalipenda tumbo langu likiwa imejaa (ujauzito) lakini pia hakuna kitu ninachokiogopa kwa sasa kama kumuanika baba kijacho wangu ambaye yupo nje ya nchi kwa sasa naogopa wasije mkwapua bure, hayo mambo sijui ya kuuza sura naawaachia hao wasanii wengine,” alisema Faiza ambaye mtoto wake wa kwanza amezaa na Sugu.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music