Monday, July 3, 2017

thumbnail

JERRY Muro Amtupia Haji Manara Kijembe Hichi Baada ya Kumaliza Kifungo cha TFF, Adai Maisha ni Gwaride


Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amemaliza kutumikia adhabu yake.


Jerry alifungiwa mwaka jana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TTF) kwa mwaka mzima kutojihusisha na shughuli zozote za kimichezo kutoka na utovu wa nidhamu. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram hiyo jana usiku Jerry aliandika haya machache.

Natabasamu kwa kuwa Leo 02/07/2017, nimemaliza kutumikia Adhabu “DHALIMU” Kikombe nilichonywea mimi na wao wamekipokea wanaanza kunywea humo, Maisha ni kama Gwaride Kiongozi akisema Nyumaa Geuka wa mbele anakuwa wa MWISHO na wa mwisho anakuwa wa KWANZA, Vumilia ndugu YANGU @hajismanara nakuaubiria “USWAHILINI” Kaeni tayari kwa ujio Mpya @yangasc@simbasc @azamf

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music