Monday, July 3, 2017

thumbnail

Mel B wa Spice Girls ameripotiwa kufilisika kabisa


Msanii wa Pop, Mel B, 42, ameripotiwa kufilisika kabisa baada ya hali yake ya kifedha kuwekwa wazi mahakamani wiki hii.
Mel B ambaye ni msanii wa kundi la Spice Girls alikuwa na utajiri wa pound milioni £38 na zote amezitumia kuishi maisha ya kistaa.
Hali ya kifedha ya msanii huyu iliwekwa wazi mahakamani wiki hii baada ya Ex wake Stephen Belafonte kudai anataka pesa za matumizi kutoka kwa mke wake baada ya kukamilisha talaka.
Mel B na Ex wake wanamadeni mengi kutokana na maisha ya kistaa waliyotaka kuishi bila kuwa na kipato kikubwa.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music