Sunday, July 9, 2017

thumbnail

Msanii Madee amua kuongea na wasanii wa aina hii.


Muziki wa Bongo fleva umezidi kuwa tishio kila siku kwa wasanii ambao hawajaachia ngoma mpaka kumfanya Madee kushuka ujumbe kwa wasanii wenzake ambao wanahisi wanabaniwa kwenye game ya Bongo.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa radio mbali mbali hapa Bongo, utagundua kitu kwamba wasanii wa Bongo kama wameamka kwa kuachia mawe juu mawe kwa mashabiki zao, mfano kama Diamond, Young Killer, Weusi, Timbulo, Chege, Rich Mavoko na wengine kibao kama wanachafua hali ya hewa, Sasa kupitia akaunti ya twitter ya Madee aliamua kuandika ujumbe kwa wasanii wenzake kuwaambia kama hawana ubunifu katika kazi zao wasilalamike kubaniwa katika vyombo vya habari.

Kupitia kurasa yake ya Twitter Madee aliandika hivi, “Radio na Tv zinazidiwa na utitiri wa nyimbo mpya zinazotoka kila siku!so kama msanii sio mbunifu usilalamike unabaniwa”

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music