Tuesday, July 11, 2017

thumbnail

Picha: Lukaku aanza kukipiga Man United rasmi


Baada ya kusubiria kwa hamu kujiunga na Manchester United akitokea Everton, Romelu Lukaku ameanza mazoezi na timu yake hiyo mpya.
Lukaku ambaye amesajiliwa na United tangu wiki iliyopita kwa ada ya uhamisho unaodaiwa wa paundi milioni 75. Mchezaji huyo anatarajiwa kuanza kuonekana akiwa na jezi ya Man United katika mechi zake za kirafiki za hivi karibuni zitakazochezwa huko nchini Marekani.
Lukaku ameichezea Everton kwa misimu minne akitokea Chelsea. Hizi ni picha nyingine za Lukaku akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Manchester United






Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music