Sunday, July 9, 2017

thumbnail

Ridhiwani Kikwete amuomba msamaha Prof Jay


USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni shangwe kwenye Ukumbi wa Mlimani City wakati wa sherehe ya Rapper nguli wa Bongo ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ aliyefunga ndoa jana hiyohiyo Julai 8, 2017  na mpenzi wake Grace katika Kanisa la St. Joseph lililopo Posta ya Zamani Dar.

Licha ya Sherehe hiyo kuhudhuriwa na watu mashuhuri wakiwemo wabunge, Basi Ridhiwani Kikwete ameandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa Instagram...


"hata Ubuyu ulianza kama Jay Mwisho ukakatika." Prof. Jeezy nawe umeaga kambi ya Mabachela na umejiunga na kambi ya Wastaarabu. Hongera sana Brother. Nisamehe kwa kushindwa kuhudhuria kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Nakujali sana bro.@professorjay

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music