Tuesday, July 4, 2017

thumbnail

Serena Williams kurudi uwanjani mwaka 2018,


Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams amekuwa kwenye vichwa vya habari toka ametangaza anaujauzito mwezi wa nne mwaka huu.
Mchumba wake Serena,  Alexis Ohanian amethibitisha kuwa staa huyu atakuwa mama mzuri kwa mtoto wao wa kwanza baada ya kumuda majukumu yote muda huu akiwa na ujauzito.
Msemaji wa Serena ameongelea staa huyu kurudi kwenye tennis nakusema ameshahukua likizo yake kuanzia mwaka huu na tutamuona tena uwanjani mwaka 2018.
Hivi karibuni kama mastaa wengine, Serena alifanya photoshoot ya ujauzito na jarida laVanity Fair.


Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music