Thursday, July 6, 2017

thumbnail

Usitarajie tena kumuona Amber Lulu akiwa video queen


Video vixen Bongo, Amber Lulu ambaye ametokea  kwenye video kama Inde ya Dully Sykes na Harmonize na Bongo Bahati Mbaya  ya Young Dee amesema kwa sasa haitaji tena kuwa video queen.
Mrembo huyo amedai kwa sasa anataka ajikite zaidi katika muziki wake ingawa hadi sasa ana wimbo mmoja tu.
“Sasa hivi nafanya muziki sio video vixen tena kwa sababu nimeshaingia kwenye muziki kwa hiyo nikifanya video vixen nakua kama narudi nyuma na mimi sitaki kurudi nyuma tena nahitaji nifanye vitu vipya. Inatakiwa kama ni muziki wangu niufanye wa international au nizidishe sitaki kurudishana nyuma,” ameiambia E-Newz ya EATV na kuongeza.
“Maoni niliyoyapokea kwa watu wengi ni mazuri sana, wengi wananishauri vitu vingi kuhusu muziki, kuna baadhi ya wasanii kama wakina Shilole na Chege nimeshakaa nao kuna vitu wameniambia unatakiwa ufanye,” amesisitiza Amber Lulu.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music