Monday, July 10, 2017

thumbnail

Watu wanane wafariki katika shambuliizi Kaskazini mwa Burundi

Watu wanane wafariki na wengine  zaidi ya 30 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kurusha kwa mkono mkoani Kayanza nchini Burundi

Msemaji wa jesh la Polisi nchini Burundi Pierre Nkurikiye amefahamisha kuwa watu wanane wamefariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa kwa bomu la kurushwa  kwa mkono Kaskazini mwa Burundi.

Shamulizi hilo limetekelezwa Jumapili majira ya jioni.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music