Wednesday, June 7, 2017

thumbnail

Gabo asherekea siku ya kuzaliwa kwa kutangaza ujio wa ‘Kisogo


Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya wasanii wa filamu, Gabo Zigamba ambapo alitumia siku hiyo kuutangazia umma kuhusu ujio wa filamu yake mpya ‘Kisogo’.
Muigizaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii wa filamu wanaofuatiliwa sana kwa sasa kutokana na uzuri wa kazi zake, amewashukuru mashabiki wake kwa ushirikiano wanaomuonyesha katika kazi zake.
“Kazaliwa mwanaharakati mwenye 6 yake Eemollah Bark mimi katika haya machache kwani makubwa najuwa waniandalia Kisogo,” aliandika Gabo kupitia Instagram yake.
Mashabiki katika mitandao ya kijamii wameonyesha kufurahishwa na ujumbe huyo huku wengine wakimtaka kuendelea kukaza ili kuleta mapinduzi katika tasnia ta filamu nchini.
Pia muigizaji huyo hivi karibuni alionekana akiwa location na Wema Sepetu kuandaa filamu.

Subscribe by Email

Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments

About

Powered by Blogger.

Facebook

STORI ZA NYUMA

DESIGNED BY: SEETHEAFRICANLINK

MICHEZO

3/SPORTS/small-col-left

HABARI

3/GENERAL NEWS/small-col-left

UDAKU

3/GOSSIP/small-col-left

BURUDANI

3/ENTERTAINMENT/small-col-left

Fashion

Nature

Business

Main Slider

10/slider-recent

Music