Vanessa amethibitisha hilo kupitia Interview yake aliyofanya na kituo cha redio nchini Nigeria cha Soundcity Radio. Muimbaji huyo amebainisha kuwa kwa sasa kila mtu anaendelea na maisha yake.
“Ahh mie na yeye tulikuwa ila sio tena na kila mtu ame-move on na maisha yake,” ameeleza Vanessa. Hata hivyo mrembo huyo hajaeleza chanzo cha wao kutengana.
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments